Ghala la Mkulima

Lishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi umri wa miaka 2 hadi 9

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mwasi, Fatma
dc.contributor.author Materu, Mary G.
dc.contributor.author Edwin, Tuzie
dc.date.accessioned 2022-06-27T06:50:54Z
dc.date.available 2022-06-27T06:50:54Z
dc.date.issued 2006-08-15
dc.identifier.isbn 9987-9017-4-3
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/655
dc.description.abstract Lishe bora ni rnuhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi vya UKIMWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani nishati-lishe, protini, madini na vitamini. Watoto wanaoishi na virusi vya UKIMWI na wenye UKIMWI wako katika hatari kubwa ya kupata utapiamlo kutokana na: • Ongezeko la mahitaji ya virutubishi hasa nishati-lishe. • Maradhi ya mara kwa mara. • Ulaji duni. • Uyeyushwaji na ufyonzwaji duni wa virutubishi mwilini. Mengi ya maradhi yanayoambatana na kuishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI huathiri mfumo mzima wa ulaj i wa chakula na kusababisha lishe duni. Lishe duni hudhoofisha mfumo wa kinga na hivyo humuweka mtoto katika hatari ya kupata maradhi mbalimbali kwa urahisi. Maradhi na utapiamlo kwa pamoja huhatarisha maisha ya mtoto mwenye virusi vya UKIMWI. en_US
dc.description.sponsorship Rapid Funding Envelope for HIV/AIDS (RFE) en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher COUNSENUTH en_US
dc.subject Virutubishi mwilini en_US
dc.subject UKIMWI en_US
dc.subject Lishe ya mtoto en_US
dc.subject Dalili za UKIMWI en_US
dc.subject Lishe bora en_US
dc.title Lishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi umri wa miaka 2 hadi 9 en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu