Ghala la Mkulima

Jifunze kustawisha viazi vitamu

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ngeze, Pius B.
dc.date.accessioned 2022-04-20T11:06:46Z
dc.date.available 2022-04-20T11:06:46Z
dc.date.issued 2007-07-26
dc.identifier.isbn 978 9987 426 34 8
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/636
dc.description.abstract Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi duniani na mifugo, na umuhimu wake unazidi kuongezeka siku hizi kutokana na uhaba au uchache wa mvua unaotokea mara kwa mara. Mbali na kuwa chakula cha kawaida, vilevile viazi ni zao la kinga ya njaa. Havihitaji mvua nyingi sana. Hukomaa haraka baada ya miezi minne unaweza kuanza kuvivuna. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Tanzania educational publishers Ltd en_US
dc.subject Viazi vitamu en_US
dc.subject Aina ya viazi vitamu en_US
dc.title Jifunze kustawisha viazi vitamu en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu