xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Malekani, Andrew | |
dc.date.accessioned | 2022-04-12T11:37:44Z | |
dc.date.available | 2022-04-12T11:37:44Z | |
dc.date.issued | 2021-05-12 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/592 | |
dc.description.abstract | Alizeti hutambulika kitaalamu Kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Vilevile ni zao ambalo halihitaji mbembejeo za gharama sana ukilinganisha mazao mengine kama mahindi, ngano, n.k. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Sokoine University of Agriculture | en_US |
dc.subject | Alizeti | en_US |
dc.subject | Mbegu | en_US |
dc.subject | Kiikolojia | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha alizeti | en_US |
dc.type | Article | en_US |