Kwa ufupi:
UZALISHAJI WA NG’OMBE WA NYAMA KIBIASHARA (Intensive Beef Production) : Mfumo wa
sasa wa uzalishaji wa nyamaunahusisha uzalishaji wa mifugo ya nyama tangu ndama hadi
kufikia kuuzwa. Utaratibu huu ni wa gharama kubwa sana, kwani unahusisha kutimiza
mahitaji ya utibabu, lishe na kuzuia athari zingine (risk) kama wizi kwa muda mrefu wa kati
ya miaka 3 – 4 ya ufugaji hadi kufikia umri na uzito wa kuchinjwa.