xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Kawamala, P. M | |
dc.contributor.author | Lyimo-Macha, J. G | |
dc.contributor.author | Malimbwi, R. E | |
dc.date.accessioned | 2020-10-07T06:23:31Z | |
dc.date.available | 2020-10-07T06:23:31Z | |
dc.date.issued | 2005-06 | |
dc.identifier.isbn | 9987- 422-12-8 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123456789/516 | |
dc.description.abstract | Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), na Chuo Kikuu cha Kilimo chaNorway (NLH), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi mwezi Septemba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway na Serikali ya Tanzania. Kati ya shughuli muhimu zilizopangwa ili kutekeleza malenqo ya mradi na kuimarisha uhusiano na wakulima, watafiti na wataalarnu wa ugani ni kupanga utaratibu na kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Ziara hizo za kimafunzo zina madhumuni yafuatayo: 1. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na wataalamu wa ugani ili kujifunza zaidi kutoka kwa wakulima wenzao na hata wakulima wabunifu kwa lengo la kufanikisha kilimo na ufugaji 2. Kutambua na kuainisha matatizo yanayowakabili wakulima wadogowadogo 3. Kushiriki katika kupeana uzoefu wa maeneo muhimu ya kilimo na mifugo. Chapisho hili linawasilisha ripoti ya ziara ya wakulima wadogowadogo waliotoka Kanda ya Mashariki na Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika Aprili 2005. Wakulima hawa waliwatembelea wenzao wa Mkoa wa Kllirnanjaro, wilaya za Hai, Moshi Vijijini na Rombo. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | TARP II-SUA Project | en_US |
dc.relation.ispartofseries | ;TS 2 - 123 | |
dc.subject | Nyuki | en_US |
dc.subject | Wakulima | en_US |
dc.subject | Kilimo mseto | en_US |
dc.title | UFUGAJI NYUKI NA KILIMO MSETO Mafunzo kutoka Wilaya za Moshi Vijijini, Hai na Rombo | en_US |
dc.type | Book | en_US |