Ghala la Mkulima

MATUMIZI BORA YA ARDHI- Mafunzo kutoka Mlima Meru

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Lyimo-Macha, J. G
dc.contributor.author Malimbwi, R. E
dc.contributor.author Kiranga, E
dc.contributor.author Kawamala, P
dc.date.accessioned 2020-09-21T06:10:00Z
dc.date.available 2020-09-21T06:10:00Z
dc.date.issued 2002-09
dc.identifier.isbn 9987-650-72-9
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123456789/496
dc.description.abstract Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo Wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Wagani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha mafunzo yatokanayo na ziara iliyofanyika Septemba 2002. Ziara hii iliwashirikisha wakulima na washauri wa wakulima kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Kilosa, Handeni, Pangani, Mkuranga na Morogoro na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumuisha wakulima na wagani kutoka wilaya za Mbeya, Mafinga, Njombe, Mbinga na Mbozi ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Arumeru, Arusha walioshiriki katika rnradi wa SCAPA. Makala hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania - TARP II - SUA Project) en_US
dc.relation.ispartofseries TARP II-SUA Project;No. TS2-58
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.title MATUMIZI BORA YA ARDHI- Mafunzo kutoka Mlima Meru en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu