Ghala la Mkulima

MWONGOZO WA MAFUNZO YA ULISHAJI WA WATOTO WACHANGA NA WADOGO

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Wizara ya afya na ustawi wa jamii
dc.date.accessioned 2024-10-28T05:49:47Z
dc.date.available 2024-10-28T05:49:47Z
dc.date.issued 2014
dc.identifier.citation www.lishe.org en_US
dc.identifier.isbn 978-9976-910-3
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/941
dc.description.abstract Unyonyeshaji wa maziwa ya mama una faida nyingi na unachangia kwa kiasi kikubwa, katika afya na maendeleo ya mtoto, pamoja na afya ya mama. Unyonyeshaji unaboresha afya ya mtoto kwa kumpatia chakula kinachohitajika kwa ukuaji na maendeleo yake. Mtoto mwenye hali nzuri ya lishe huweza kupambana na magonjwa kuliko yule mwenye utapiamlo. Ulishaji sahihi huchangia katika kupunguza makali ya ugonjwa hasa maradhi ya kuhara na yale ya njia ya hewa, endapo mtoto ataugua. Kwa muda mrefu, mpango wa kuzuia magonjwa ya kuhara umetambua kuwa unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee bila kumpa mtoto hata maji kwa miezi sita ya mwanzo, kunapunguza kwa kiasi kikubwa maambukizo na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa kuhara. Pia kuendelea kumnyonyesha na kumpa mtoto chakula cha nyongeza kuanzia miezi 6 hadi miaka 2 au zaidi ni muhimu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Taasisi ya chakula na lishe en_US
dc.subject Mwongozo en_US
dc.subject Ulishaji wa watoto en_US
dc.subject Mafunzo en_US
dc.title MWONGOZO WA MAFUNZO YA ULISHAJI WA WATOTO WACHANGA NA WADOGO en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu