xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Muungwana Blog.
dc.date.accessioned 2024-10-10T09:35:05Z
dc.date.available 2024-10-10T09:35:05Z
dc.date.issued 2016-10-02
dc.identifier.citation http://www.muungwana.co.tz en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/939
dc.description.abstract Karafuu ni zao linalotokana na mkarafuu, ingawa karafuu hazimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu sana kwa maisha ya binadamu.Mikarafuu ilianza kupandwa kwenye visiwa vya Shelisheli, Mauritius na sehemu nyinginezo katika karne ya 19. Miche ya mikarafuu ililetwa Zanzibar kutoka Indonesia, mashariki ya mbali mwaka 1818. Mikarafuu inastawi zaidi Visiwani vya Unguja na Pemba ambapo katika miaka 30 iliyopiata Zanzibar ilikuwa inazalisha asilimia 80 ya karafuu zote zinazohitajika duniani ambapo uchumi wake ulitegemea sana zao la karafuu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Muungwana blog en_US
dc.subject Karafuu en_US
dc.subject Kiungo en_US
dc.subject Tiba en_US
dc.subject Magonjwa en_US
dc.title Karafuu en_US
dc.title.alternative Karafuu kama kiungo kwa vyakula na tiba ya magonjwa mengi. en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu