xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Uly Clinic
dc.date.accessioned 2024-10-08T08:05:45Z
dc.date.available 2024-10-08T08:05:45Z
dc.date.issued 2020-11-29
dc.identifier.citation https://www.ulyclinic.com/faida-za-kiafya-za-mbegu-ya-tikiti en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/935
dc.description.abstract Tikitimaji au tikiti-maji ni tunda la mtikiti-maji lenye maji na nyama ambalo huchangia kutoa ngaziya juu ya vitamini, madini n.k. Matikitimaji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hiyo inapatikana katika kundi linalojumuisha mimea mingine kama matango, maboga na maskwash Kuna vitu ambavyo umekuwa ukividharau au kuona havifai kabisa unapokuwa unakula vyakula aina fulani haswa ikija kwenye ulaji wa mbegu au maganda ya matunda kama zabibu, maboga n.k. Kusoma makala hii itakusaidia kufahamu kiundani kuhusu faida za kiafya za mbegu za tikiti maji na namna ya kutumia mbegu hizo ili kupata faida zake. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Uly Clinic en_US
dc.subject Mbegu en_US
dc.subject Tikiti en_US
dc.subject Faida en_US
dc.title Mbegu za tikiti en_US
dc.title.alternative Faida za kiafya ya mbegu ya tikiti en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu