xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author TARP II-SUA Project
dc.date.accessioned 2024-10-08T07:49:22Z
dc.date.available 2024-10-08T07:49:22Z
dc.date.issued 2003
dc.identifier.isbn 9987-650-73-7
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/933
dc.description.abstract Nyanya ni moja ya mazao ya mbogamboga muhimu Tanzania hususan katika wilaya ya Muheza. Zao la nyanya humwongezea mkulima kipato na kuboresha lishe ya mlaji. Pamoja na faida zake hizi. zao la nyanya ni la msimu na linakabiliwa na matatizo mcngi likiwemo la kuharibika haraka mara tu baada ya kuvunwa. llali hii pia humlazimisha mkulima auze nyanya zake haraka na kwa bei ya chini ambayo humpunguzia kipato. Wakulima wa Muheza kama walivyo wakulima wa sehemu nyingine Tanzania hawasindiki nyanya zao kwa sababu hawana ujuzi huo. Kijitabu hiki kimetayarishwa ili kumsaidia mkulima au mtu yeyote mwingine kusindika pesti ya nyanya na kuhifadhi katika chupa kwa ajili ya matumizi ya baadaye. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher TARP-Sua en_US
dc.relation.ispartofseries Toleo namba TS2-62;
dc.subject Nyanya en_US
dc.subject Kanuni en_US
dc.subject Usindikaji en_US
dc.title Pesti ya nyanya en_US
dc.title.alternative Kanuni za usindikaji en_US
dc.type Learning Object en_US
dc.type Image en_US
dc.type Image, 3-D en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu