xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Kuku site
dc.date.accessioned 2024-09-11T07:49:01Z
dc.date.available 2024-09-11T07:49:01Z
dc.date.issued 2024
dc.identifier.citation https://kuku.great-site.net en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/930
dc.description.abstract Mlo kamili wa kuku ni mlo wenye virutubisho vyote muhimu anavyohitaji kuku kwa kiwango na uwiano sahihi, Virutubisho vinavyohitajika katika mlo wa kuku ni kama ifuatavyo: 1.Wanga (carbohydrates) Wanga hutumika kama chanzo cha haraka cha nishati (nguvu) katika mwili wa kuku, na inapatikana katika nafaka mbalimbali kama Mahindi, Pumba ya mahindi, Ngano, Mtama, Mchele n.k 2. Protini ( protein ) Ni kirutubisho muhimu ambacho hujenga mwili. Protini inapatikana katika vyakula kama Mashudu ya Alizeti, Dagaa, Soya, Damu n.k 3.Mafuta (Fat) Mafuta ni muhimu sana katika lishe ya kuku kwani humuwezesha kuku kusharabu fat soluble vitamins kama vitamin A, D, E, na K, huhifadhi nishati, kutunza joto na kulinda ogani muhimu katika mwili wa kuku. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kuku site en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Chakula en_US
dc.subject Mlo kamili en_US
dc.title Mlo kamili wa kuku en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu