Ghala la Mkulima

Kilimo Bora cha Migomba

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mbega, Daniel
dc.date.accessioned 2024-09-11T07:00:14Z
dc.date.available 2024-09-11T07:00:14Z
dc.date.issued 2017-03
dc.identifier.citation https://aginfocenter.wordpress.com/2017/03/23/kilimo-bora-cha-migomba/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/927
dc.description Kwa matumizi ya wananchi en_US
dc.description.abstract KWA miaka mingi ndizi ndilo zao kuu la chakula mkoani Kagera, na sasa limekuwa zao la biashara kwa baadhi ya wilaya kama Karagwe na Muleba. Ndizi zinasafirishwa kwa wingi kwenda mikoa mingine ndani na nje ya Kanda ya Ziwa na zinaonekana kupendwa na walaji wengi, hasa ‘Ndizi Bukoba’. Ndizi zinatokana na migomba. MaendeleoVijijini inafahamu kwamba, japokuwa kuna mazao mengine yanayolimwa Kagera kama kahawa, mahindi, maharage, mikunde, viazi vitamu, viazi mviringo, viazi vikuu, njugu mawe, karanga, nyanya, machungwa, mapera na mananasi, lakini migomba ndilo zao linaloongoza kwa chakula. Mbali ya Kagera, migomba hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Morogoro, Tanga, Mbeya, Kigoma na Mara. en_US
dc.description.sponsorship Maendeleo Vijijini-Governement en_US
dc.publisher Maendeleo Vijijini en_US
dc.subject Migomba en_US
dc.subject Matunda en_US
dc.subject Ndizi en_US
dc.title Kilimo Bora cha Migomba en_US
dc.title.alternative Migomba en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu