Ghala la Mkulima

Mwongozo wa Kilimo Bora cha Beetroo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mkono, Abdul A.
dc.date.accessioned 2024-09-03T06:19:06Z
dc.date.available 2024-09-03T06:19:06Z
dc.date.issued 2022-07
dc.identifier.citation https://greenagriculturetz.com/2022/07/20/mwongozo-wa-kilimo-bora-cha-beetrot/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/922
dc.description Kwa wakulima wa Tanzania tu en_US
dc.description.abstract Ili kupata chakula chenye madini ya kutosha na ya kufana wataalamu hushauri tule matunda na mboga mboga kwa wingi. Na mojawapo ya vyakula hivi ni tunda au mmea aina ya beetroot kama unavyofahamika zaidi kwa kimombo. Beetroot ni zao ambalo jina lake kibaiolojia huitwa Beta vulgaris. Na zao hili tunda lake hujiunda katika mizizi kama kitunguu. Beetroot ni muhimu sana kwa kuongeza damu na kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali. Inaweza kuliwa kama ilivyo baada ya kuvunwa au ikatengenezwa juice na ikatumika vizuri kabisa. Lakini pia majani yake yanalika kama spinach. Kwa ukuaji bora wa mimea hii inahitaji mvua ya kutosha. Pia hukubali vyema katika udongo wenye rutuba na wa kitifutifu. Udongo wa mfinyanzi ambao ukikauka unapasuka husababisha tunda kuwa na umbo ambalo sio zuri kibiashara. en_US
dc.description.sponsorship Green Agriculture is Your Farming friend en_US
dc.publisher Green Agriculture is Your Farming friend en_US
dc.subject Beetroot en_US
dc.subject Kiazi chekundu en_US
dc.title Mwongozo wa Kilimo Bora cha Beetroo en_US
dc.title.alternative Kiazi chekundu en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu