Ghala la Mkulima

Ufugaji wa nyuki kibiashara na ubora wa mazao yake.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Wakala wa misitu Tanzania
dc.date.accessioned 2024-09-02T10:12:07Z
dc.date.available 2024-09-02T10:12:07Z
dc.date.issued 2019-05-02
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/906
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Karne mbili zilizopita, ufugaji wa nyuki kibiashara ulianza baada ya kuibuka kwa teknolojia za kukabiliana na wadudu hao na kupanuka kwa soko la asali na mazao yake ikiwamo nta inayotumika viwandani. Licha ya kuwa na zaidi ya miaka 100 ukifanyika, bado biashara ya asali duniani ni fursa kwa wananchi, lakini wengi hawajui kama ipo na imekumbatia utajiri mkubwa. Tanzania ni nchi ya pili duniani katika uzalishaji asali; zao kuu litokanalo na nyuki ikiwa nyuma ya Ethiopia. Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), inaratibu shughuli za ufugaji wa nyuki na ushauri wa kibiashara kwa wazalishaji na wauzaji wa asali na mazao yake. Kalenda ya ufugaji wa nyuki nchini imegawanyika katika misimu minne kulingana na majira kwa mwaka, ambayo hutofautiana kati ya mkoa na mkoa. Kaimu meneja mawasiliano wa TFS, Tulizo Kilaga anasema katika kila msimu, kazi ya ufugaji wa nyuki hutegemea na kundi la nyuki linahitaji nini na mfugaji afanye nini kuweza kuzalisha mazao ya nyuki. “Ipo misimu minne ya nyuki kwa mwaka ambayo ni msimu wa njaa, kujijenga kwa nyuki, mtiririko wa asali na msimu wa mavuno kwa mfugaji wa nyuki,” anasema Kilaga. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Wakala wa misitu Tanzania en_US
dc.subject Ufugaji wa nyuki en_US
dc.subject Biashara en_US
dc.subject Nyuki en_US
dc.title Ufugaji wa nyuki kibiashara na ubora wa mazao yake. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu