Ghala la Mkulima

Tathmini ya athari kwa mazingira na jamii (tamj)

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira
dc.date.accessioned 2024-09-02T10:03:24Z
dc.date.available 2024-09-02T10:03:24Z
dc.date.issued 2019-08
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/904
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) litasafirisha mafuta kutoka kwenye kituo cha mafuta, kilichopo Wilayani Hoima, nchini Uganda, kuelekea kwenye kituo cha kuhifadhia na kituo cha kupakia mafuta kwenye meli kwenda nchi za nje, vilivyopo kwenye rasi ya Chongoleani, kaskazini mwa mji wa Tanga katika Pwani ya Afrika Mashariki, Tanzania. Athari zinazoweza kutokana na mradi, faida na hasara kwa uchumi, jamii na mazingira nchini Tanzania zimefanyiwa tathmini na kuelezwa kwa kina katika nyanja mbalimbali zilizodhaniwa kuwa za thamani na muhimu katika jamii (kwa mfano, kudumisha njia za kujikimu). Mbinu za kuepuka au kupunguza athari zilizo mbaya zimeelezwa na baada ya hatua hizo kutekelezwa, athari zinazofikiriwa kubakia pia zimeelezwa. Taarifa ya Tathmini ya Athari za kimazingira na kijamii imeandaliwa kwa kuzingatia: en_US
dc.description.sponsorship TOTAL, UNOC,COWI en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Spring Lodge, 172 Barabara ya Chester, Helsby, WA6 0AR, UK en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Athari ya Mazingira en_US
dc.subject Jamii en_US
dc.title Tathmini ya athari kwa mazingira na jamii (tamj) en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu