Ghala la Mkulima

FAIDA ZA MCHAICHAI KWA AFYA YAKO

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Katuma Blog
dc.date.accessioned 2024-07-30T09:16:56Z
dc.date.available 2024-07-30T09:16:56Z
dc.date.issued 2006-02
dc.identifier.citation https://ka2ma.blogspot.com/2016/01/hizi-ndiyo-faida-za-mchaichai-kwa-afya.html en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/893
dc.description Public use. en_US
dc.description.abstract Mchaichai kama kiungo cha chakula jikoni na wengine hutumia kama dawa ya mbu. Lakini, je unafahamu kuwa majani haya yana aida kubwa kiafya. Mafuta vya mchaichai hutumika katika viwanda vinavyotengeza pafyumu na sabuni. Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama vile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana na ulaji wa chakula chenye uchafu na pia hutibu maradhi ya kichwa na hata misuli. Mchaichai pia unatajwa kuwa kinywaji kinachoweza kupunguza joto. Chai ya mchaichai inasaidia kupunguza joto kwa mgonjwa wa homa. en_US
dc.description.sponsorship SUA en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mzizi Mkavu Blog en_US
dc.subject Mchaichai en_US
dc.subject Faida za mchaichai en_US
dc.subject Lemongrass en_US
dc.title FAIDA ZA MCHAICHAI KWA AFYA YAKO en_US
dc.title.alternative mchaichai en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu