Ghala la Mkulima

Kilimo biashara, kilimo bora, mboga mboga na matunda

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mohamed, Mtalula
dc.date.accessioned 2024-07-24T05:26:37Z
dc.date.available 2024-07-24T05:26:37Z
dc.date.issued 2024-04-13
dc.identifier.citation https://www.mogriculture.com en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/888
dc.description.abstract Kanuni hizi zinajumuisha Kuandaa shamba mapema, matumizi ya mbegu bora, Kupanda kwa wakati na kwa nafasi, matumizi bora ya maji, matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu, kudhibiti magugu, magonjwa na wadudu wa mazao. Pia matumizi ya zana bora za kilimo na teknolojia rafiki, utunzaji wa mazingira, kufuata kanuni za usalama na afya, na kufuata kanuni za uchumi. Makala hii inalenga kuwaelimisha wakulima juu ya umuhimu wa kanuni hizi na jinsi zinavyoweza kusaidia katika kuongeza uzalishaji wa mazao na kuboresha maisha yao na jamii kwa ujumla. Pia, inasisitiza umuhimu wa kuendelea kubuni na kutekeleza mbinu bora za kilimo ili kukabiliana na changamoto za sasa na za baadaye katika kilimo. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mogri culture Tanzania en_US
dc.subject Kilimo Biashara, en_US
dc.subject Kilimo Bora, en_US
dc.subject Mboga mboga en_US
dc.subject Matunda en_US
dc.title Kilimo biashara, kilimo bora, mboga mboga na matunda en_US
dc.title.alternative Kanuni 12 za kilimo bora chenye tija Tanzania en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu