Ghala la Mkulima

Usimamizi endelevu wa ardhi ya kilimo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Wekesa, Amos
dc.contributor.author Jönsson, Madeleine
dc.date.accessioned 2024-07-02T09:04:05Z
dc.date.available 2024-07-02T09:04:05Z
dc.date.issued 2015
dc.identifier.citation https://viagroforestry.org en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/884
dc.description.abstract MABADILIKO YA TABIA NCHI na hali ya hewa isiyotabilika kwa pamoja huchangia changamoto kubwa kwa wakulima wadogo wadogo katika eneo la Afrika Mashariki.Vi Agroforestry inafanya kazi na wakulima pamoja na asasi za wakulima kuongeza ufahamu wao wa mazingira, kuwasaidia wakulima kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi, kuongeza matumizi ya nishati mbadala/endelevu na pia kuzuia na kupunguza athari za majanga asili yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.Usimamizi Endelevu wa Ardhi ya Kilimo (SALM) ni mbinu zinazotumiwa na wakulima katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na kuongeza tija katika uzalishaji kwenye kanda mbalimbali za kilimo ikolojia. Mbinu hizi pia zinaweza kutumiwa katika maeneo ya mijini kwa mfano bustani za mbogamboga, mbinu zinazohusu ukulima, nishati mbadala na usimamizi wa maji na maji taka. Mwongozo huu umeweka mbinu mbalimbali ambazo mkulima anaweza kuzitumia kama hatua ya kweli katika kuongeza tija na faida hata kwa vizazi vijavyo hasa kutokana na ufahamu wa hali ya hewa na tabia ya nchi inayobadilika duniani kote na kuathiri uzalishaji wa tija en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Vi Agroforestry en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Endelevu en_US
dc.subject Usimamizi en_US
dc.title Usimamizi endelevu wa ardhi ya kilimo en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu