Ghala la Mkulima

Kilimo na hifadhi ya mazingira

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Gilla, Alli
dc.date.accessioned 2024-04-22T08:53:13Z
dc.date.available 2024-04-22T08:53:13Z
dc.date.issued 1993
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/859
dc.description.abstract Kwa muda mrefu wazee wetu wamekuwa wakitegemea kilimo. Mahitaji yao yote yamekuwa yakitokana na mashamba yao na misitu. Hawakuwa na shida kubwa ya chakula au kuni Leo hii mabadiliko mengi yametokea. Watu wameongezeka sana. Sasa hivi huwezi kufungua shamba mahali popote tu; kila shamba lina mwenyewe. Sio ajabu siku hizi kusikia kesi nyingi zinazohusu mashamba na mipaka. Sasa hivi huwezi kulima kilimo cha kuhamahama au kupumzisha shamba kama walivyofanya wazee. . Siku hizi rutuba ya udongo imepungua sana; matokeo yake mavuno nayo yamepungua. Sehemu nyingine watu wanatumia mbolea kupita kiasi na kuharibu udongo. Sasa hivi upatikanaji wa kuni umekuwa wa tabu. Katika sehemu za milimani kama Mgeta matatizo hayo ni makubwa zaidi. Wakulima wa huko kila siku wanayashuhudia matatizo haya. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Inades Formation Tanzania en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Hifadhi en_US
dc.subject Mlimani en_US
dc.title Kilimo na hifadhi ya mazingira en_US
dc.title.alternative Klimo mlimani en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu