Ghala la Mkulima

Virutubishi mchanganyiko kwa watoto wenye umri wa miezi sita hadi miaka mitano.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mamlaka ya chakula na lishe.
dc.date.accessioned 2024-04-22T08:35:14Z
dc.date.available 2024-04-22T08:35:14Z
dc.date.issued 2019-03-22
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/854
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Virutubishi mchanganyiko vinapotumiwa na watoto havileti madhara, lakini vinaweza kusababisha maudhi madogo madogo, mfano: ØKuharisha kwa muda mfupi: Baadhi ya watoto hupata tatizo la kuharisha kwa muda mfupi baada ya kuanza kutumia virutubishi mchanganyiko. Hali hii hudumu kwa kipindi kifupi tu kwani mtoto hurejea katika hali ya kawaida baada ya siku kadhaa. Inapojitokeza hali hiyo, mtoto anywe maji kwa wingi na aendelee kutumia chakula kilichoongezwa virutubishi mchanganyiko. ØKupata choo cheusi: Hili ni jambo la kawaida na halina madhara yoyote. Rangi hii inatokana na uwepo wa madini chuma kwa wingi kwenye chakula kilichoongezwa virutubishi mchanganyiko. en_US
dc.description.sponsorship Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mamlaka ya chakula na lishe en_US
dc.subject Virutubisho Mchanganyiko en_US
dc.subject Watoto en_US
dc.subject Umri wa miezi sita en_US
dc.subject Hadi miaka mitano en_US
dc.title Virutubishi mchanganyiko kwa watoto wenye umri wa miezi sita hadi miaka mitano. en_US
dc.title.alternative ;Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu