xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mtenga, L.A | |
dc.date.accessioned | 2024-04-05T09:05:30Z | |
dc.date.available | 2024-04-05T09:05:30Z | |
dc.date.issued | 2003 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/853 | |
dc.description | Kijarida | en_US |
dc.description.abstract | Mradi wa uboreshaji wa mauzo, uhifadhi na ulaji wa nyama vijijini unafadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika lake la maendeleo (NORAD) chini ya mradi mkubwa wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (TARP 11 - SUA). Mradi huu unacndeshwa katika ukanda wa mashariki ya Tanzania katika mikoa ya Pwani na Morogoro. Watafiti wanatoka Chuo Kikuu cha Sokoinc cha Kilimo na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula. Kwa kuanzia kuna vijiji vitatu vinavyoshiriki katika mradi huu; Chamakweza (Chalinze) katika mkoa wa Pwani, Mnjilili na Nyumbanhitu (Gairo) katika mkoa wa Morogoro. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika uenezaji wa mbinu mbalimbali zinazohusika na mradi. Hizi ni pamoja na njia za maandalizi ya mwanzo, matayarisho (kukausha kwa kufukiza moshi na kutumia mionzi ya jua) na kuhifadhi nyama iliyokaushwa. | en_US |
dc.description.sponsorship | NORAD | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo | en_US |
dc.subject | Mionzi ya jua | en_US |
dc.subject | Moshi wa kuni | en_US |
dc.subject | Uhifadhi wa nyama | en_US |
dc.title | Uhifadhi wa nyama kwa njia ya kukausha kwa kutumia mionzi ya jua na moshi wa kuni | en_US |
dc.title.alternative | :Utafiti juu ya mbinu za uboreshaji wa mauzo, Uhifadhi na ulaji wa nyama Vijijini | en_US |
dc.type | Article | en_US |