xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mmbando, Frank | |
dc.date.accessioned | 2024-04-04T06:43:14Z | |
dc.date.available | 2024-04-04T06:43:14Z | |
dc.date.issued | 2003 | |
dc.identifier.citation | https://www.tari.go.tz | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/838 | |
dc.description.abstract | Choroko ni zao jamii ya mikunde, ni zao la chakula na biashara. Choroko hustawi katika udongo wa aina tofauti usiotuamisha maji. Hustawi zaidi kwenye ukanda wa chini na wa kati, yaani mita 0 hadi 1500 kutoka usawa wa bahari, ingawa kuna mbegu nyingine zinaweza kukubali zaidi ukanda juu. Pia choroko ni zao linalostahimili ukame. Choroko hukomaa kwa siku 60 hadi 65 kulingana na aina.Tanzania tuna aina mbile zaMbegu za choroko ambazo ni Nuru iliyopendekezwa kwa wakulima mwaka 1977 yenye rangi ya kijaniinayong’ara wakati mbegu aina ya Imara (1982) ina rangi isiyo na mng’ao.Choroko hazihitaji maji mengi hivyo hupandwa miezi miwili kabla ya kumalizika kwa mvua za masika, pia choroko huweza kupandwa kipindi cha mvua zamuda mfupi (vuli). Zao hili likilimwa vizuri hutoa mavuno kati ya gunia 10 hadi gunia 15 za ujazo wa kilo 100 kwa hekalimoja. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Tari | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.subject | Choroko | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha choroko | en_US |
dc.type | Learning Object | en_US |