xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele | |
dc.date.accessioned | 2023-12-28T10:58:04Z | |
dc.date.available | 2023-12-28T10:58:04Z | |
dc.date.issued | 2022-06-25 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/789 | |
dc.description.abstract | 1.0 Utangulizi. Muhogo ni miongoni mwa mazao makuu ya chakula richini Tanzania. Inakadiriwa kuwa tani milioni lino (5) za muhogo mbichi zinazalishwa hapa nchini kwa mwaka. Kanda zinazoongoza kwa uzalishaji ni Kanda ya ziwa (37%), Kanda ya kusini (28%) na Kanda ya mashariki (12%). Karibu 75% ya muhogo unaozalishwa hutumika kwa chakula. Muhogo huvumilia ukame na pia hufanya vizuri hata katika ardhi yenye rutuba hafifu «kilinganisha na mazao mengine. | en_US |
dc.publisher | Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.subject | Mihogo | en_US |
dc.title | Kilimo Bora cha Mihogo | en_US |
dc.type | Article | en_US |