Ghala la Mkulima

Kilimo Shadidi cha Mpunga

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
dc.date.accessioned 2023-12-28T05:00:48Z
dc.date.available 2023-12-28T05:00:48Z
dc.date.issued 2023
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/785
dc.description.abstract Kilimo shadidi cha mpunga (System of Rice Intensification—SRI) ni teknolojia bora yenye kutumia maji na mbegu kidogo kwa kutoa mavuno mengi. Hutumika kwa ku- badilishana kati ya kulowanisha kwa siku 3 na kukausha ardhi kwa siku 7 kwa kina cha sentimita 2 za maji yaliyotuama. Mu- da wa ukavu huweza kuwa kati ya siku 4 - 7. Mipasuko ya udongo kwenye jaruba ni kiashiria cha kumwagilia maji kwenye jaruba. Kama udongo ni wa mfinyanzi ta- hadhari kubwa yatakiwa kutoruhusu mipasuko ya kupitiliza kabla ya kum- wagilia ili kuepuka maji mengi kupotea isivyotarajiwa. en_US
dc.publisher Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Mpunga en_US
dc.title Kilimo Shadidi cha Mpunga en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu