xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | wizara ya kilimo | |
dc.date.accessioned | 2023-11-30T07:43:56Z | |
dc.date.available | 2023-11-30T07:43:56Z | |
dc.date.issued | 2023-11-18 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/770 | |
dc.description.abstract | Mmbono kwa kitaalam Jatropha curcas ni mti jamii ya nyonyo wenye mbegu zitoazo mafuta yenye sifa kama nyonyo.Huota kwenye maeneo ya nyanda kame na yenye upungufu wa rutuba. Mmea hauliwi na mifugo wala wanyama pori na kufanya mmea ufae kulimwa kwenye maeneo ya wafugaji huria. Mmea hutoa mbegu zenye mafuta ambayo hayaliwi bali hutengenezea sabuni, kuendesha mitambo, gesi kama nishati.Kutokana na faida nyingi kwa binadamu kiafya, kiuchumi na mazingira, mmea unaweza kuzalishwa kama zao. Mmea huu umetokea Marekani ya Kati na kusambazwa hadi Afrika Mashariki na Wareno. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Sokoine university of agriculture | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.subject | Mbono | en_US |
dc.subject | Jatropha | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha mbono(Jatropha | en_US |
dc.type | Article | en_US |