xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2017-12-22T11:24:53Z | |
dc.date.available | 2017-12-22T11:24:53Z | |
dc.date.issued | 2012 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/75 | |
dc.description.abstract | Uvuvi ni moja ya raslimali muhimu inayoongezeka ambayo nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika zinayo kwa ajili ya usalama wa chakula, maisha ya watu na kukua kwa uchumi. Hata hivyo juhudi zinatakiwa kufanyika kuhakisha kuwa jinsi idadi ya watu inavyoongezeka katika nchi hizi ndivyo mahitaji ya chakula na ajira yanavyoongezeka, faida zinazotokana na raslimali ya uvuvi zitalindwa kupitia usimamizi endelevu na uongeza thamani. IOC iliongoza mpamgo wa utekelezaji wa malengo ya uvuvi Kikanda kwa ajili ya Kanda ya ESA - I0 (IRFS) {SMARTFISH} iliyozinduliwa February 2011 ikiwa na malengo ya kuongeza viwango vya Maendeleo ya jamii, uchumi, mazingira na mahusiano ya kikanda katika Ukanda huu kupitia uvunaji endelevu wa raslimali ya uvuvi. Kufanikisha mpango huu ni kuainisha mikakati ya kikanda na kuimarisha mahusiano ya kikanda hasa katika ubia na COMESA, EAC, and IGAD. Hatimaye watakaofaidika ni wavuvi na jamii ya watu wanaoishi katika ukanda wa pwani na wakazi wengi waliopo nchi za Burundi, Comoros, Djibouti, Democratic Republic of Congo, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Madagascar, Malawi, Mauritius, Rwanda, Seychelles, Somalia, Sudan, Swaziland, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe. | en_US |
dc.publisher | Commission De L'ocean Indien | en_US |
dc.relation.ispartofseries | Smart Fish Working paper;005 | |
dc.subject | Samaki | en_US |
dc.subject | Bahari | en_US |
dc.subject | Bahari ya Hindi | en_US |
dc.subject | Mauritius | en_US |
dc.subject | Uchakataji | en_US |
dc.title | Fish Handling, Quality and Processing: Training and Community Trainers Manual | en_US |
dc.title.alternative | uhudumiaji, Ubora na uchakatji wa samaki. Mwongozo wa mafunzo kwa wakufunzi wa jamii, mpango wa kamisheni ya Bahari ya Hindi/ Programu ya ”SmartFish”, Mauritius. | en_US |