xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Animal care Unit | |
dc.date.accessioned | 2023-10-04T05:09:27Z | |
dc.date.available | 2023-10-04T05:09:27Z | |
dc.date.issued | 2018-06-11 | |
dc.identifier.citation | https://web.facebook.com/healthisalluneed/post | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/746 | |
dc.description.abstract | Lishe/chakula/mlo kamili kwa mbwa ni muhimu sana kwani humpa mbwa afya nzuri na pia huwakinga mbwa na mashambulizi mbalimbali ya magonjwa na hivyo kuwafanya wavutie muda wote Kwa sasa vyakula vingi vya mbwa hupatikana madukani kutoka viwandani maana vimefanyiwa utafiti na kuzingatia afya ya mlaji ambaye ni mbwa na wanasayansi wameenda mbali zaidi wameweza kutengeneza chakula kutegemea aina ya breed ya mbwa Lakini hayo yote hayakuzuii wewe mmliki wa mbwa kujitengenezea chakula mwenyewe ambacho kitakuwa kimekidhi vigezo vyote vinavyohitajika kwa mbwa ili kuepuka gharama ya chakula kwa namna moja ama nyingine kama nitakavyoelezea hapa chini | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Sokoine university of agriculture | en_US |
dc.subject | Mbwa | en_US |
dc.subject | Mlo kamili | en_US |
dc.title | Mlo kamili kwa mbwa | en_US |
dc.type | Article | en_US |