xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2023-10-03T08:50:47Z | |
dc.date.available | 2023-10-03T08:50:47Z | |
dc.date.issued | 2023 | |
dc.identifier.citation | www.tari.go.tz | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/744 | |
dc.description.abstract | Mbaazi ni zao jamii ya mikunde,faida kubwa ya zao hili ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. Linavumilia ukame. Hupunguza umaskini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya. Hurutubisha udongo. Linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama. Ili kujipatia mazao mengi na bora ya mbaazi ya mda mrefu zingatia maelezo yaliyomo katika kipeperushi hiki. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Tari | en_US |
dc.subject | Mbaazi | en_US |
dc.subject | Mda mrefu | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.title | Kilimo cha mbaazi cha mda mrefu | en_US |
dc.type | Article | en_US |