Ghala la Mkulima

Njia bora za kukinga mimea yako dhidi ya jua kali na mvua kubwa

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Lasway, Octavian J
dc.date.accessioned 2023-10-03T04:56:34Z
dc.date.available 2023-10-03T04:56:34Z
dc.date.issued 2022-07-20
dc.identifier.citation https://greenagriculturetz.com. en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/739
dc.description.abstract Jua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja kwa siku moja ili kuepukana na ugonjwa wa kata kiuno. Ila kama udongo unahifadhi maji najua likawa kali kiasi ambacho saa sita mchana maji yashakauka na mmea unaanzakusinyaa au kuweka rangi ya njano kutokana na jua kali hapo inabidi ukabiliane na changamoto hii kwa kufanya yafuatayo:-a. Kuweka matandazo ya majani (Organicmulch) en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Njia bora en_US
dc.subject Kukinga mimea en_US
dc.subject Mvua kubwa en_US
dc.subject Jua kali en_US
dc.title Njia bora za kukinga mimea yako dhidi ya jua kali na mvua kubwa en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu