Ghala la Mkulima

Kilimo cha tangawizi

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Chuo kikuu cha Sokine cha kilimo
dc.date.accessioned 2023-08-25T09:57:22Z
dc.date.available 2023-08-25T09:57:22Z
dc.date.issued 2023-03-22
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/714
dc.description.abstract Tangawizi ni aina ya zao la kiungo ambalo sehemu inayotumika ni tunguu ( rhizome) ambalo huonekana kama mizizi ya mmea. Asili ya zao hili ni maeneo ya kitropiki ya bara la Asia na hasa katika nchi za India na China. Zao hili linazalishwa kwa wingi kutoka katika nchi ya Jamaica. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Kigoma, Tanga, Morogoro, Pwani, Mbeya na Kilimanjaro. en_US
dc.description.sponsorship SUA en_US
dc.publisher Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo en_US
dc.subject Kilimo cha tangawizi en_US
dc.subject Zingiber officinale en_US
dc.title Kilimo cha tangawizi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu