xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2023-03-01T10:57:19Z | |
dc.date.available | 2023-03-01T10:57:19Z | |
dc.date.issued | 2021-11 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/695 | |
dc.description.abstract | Nanasi ni tunda la kitropiki, linalopendwa na walaji wengi kwa sababu ya ladha yake tamu na harufu yake nzuri. Tunda hili laweza liwa mara tu baada ya kuvunwa, baada ya kulipika, au kama juisi. Nanasi ni chanzo kizuri cha vitamin A na B, pia inakiwango kingi tu cha vitamin C pamoja na madini kama vile: patasiam, magnesiam, kalsiam, na madini chuma. Asili ya nanasi inaaminika kuwa ni Brazil na Paraguay huko Amerika ya Kusini. Hapa Tanzania, nanasi hulimwa zaidi maeneo ya Bagamoyo, Kibaha (Pwani), Tanga, Mtwara, Lindi, Geita na Mwanza. Lakini pia maeneo yote ya pwani ya Tanzania yanafaa kwa kilimo cha nanasi. | en_US |
dc.publisher | Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo | en_US |
dc.subject | Mananasi | en_US |
dc.subject | Shamba | en_US |
dc.subject | uvunaji | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha Mananasi. | en_US |
dc.title.alternative | Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi. | en_US |
dc.type | Article | en_US |