xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | IBRAHIM | |
dc.date.accessioned | 2023-02-28T05:06:10Z | |
dc.date.available | 2023-02-28T05:06:10Z | |
dc.date.issued | 2018-08-06 | |
dc.identifier.citation | http://farmersmarket.co.tz/kilimo-bora-cha-dengu/ | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/676 | |
dc.description.abstract | KILIMO BORA CHA DENGU : Dengu ni nafaka kama zilivyo nafaka zingine, ni zao la jamii ya mikunde pia ni zao la biashara, ni miongoni mwa zao muhimu sana la biashara ukanda wa ziwa kwa sababu ya thamani yake Kuwa juu sana, zao hili hutumika pia kama zao la chakula kama mbonga , mchaganyo wa wali mseto , makande , kutegeneza Bagia , chiichiri namengineyo mengi. Kanda ya ziwa hili ndilo Zao llinalotegemewa zaidi likiongozwa na zao la choroko kwa kuwa na thamani kubwa, hivyo zao hili ni zao muhimu kwa uchumi wa wanakanda ya ziwa. Dengu ni zao la chakula na biashara lenye kiasi kikubwa cha protini, vitamini A na B, Madini ya Potassium na chuma. Zao hili likilimwa vizuri linaweza kutoa mavuno ya kilogram 200 hadi 500 kwa ekari. Zao hili huchukua wastani wa siku135 kupandwa hadi kuvunwa. | en_US |
dc.description.sponsorship | Farmers Africa | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | AGROVET | en_US |
dc.subject | Dengu | en_US |
dc.subject | Mbegu za dengu | en_US |
dc.subject | Magonjwa ya dengu | en_US |
dc.subject | Wadudu waharibifu kwa dengu | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha dengu | en_US |
dc.type | Article | en_US |