Ghala la Mkulima

Ziara ya mafunzo kwa wakulima kati ya nyanda za mashariki na ya nyanda za juu kusini

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Lyimo-Macha, J. G
dc.contributor.author Batamuzi, E. K
dc.contributor.author Tarimo, A. J. P
dc.date.accessioned 2017-11-17T09:56:03Z
dc.date.available 2017-11-17T09:56:03Z
dc.date.issued 2001
dc.identifier.isbn 987 605 49 4
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/66
dc.description.abstract Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula, pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ugani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili (kanda moja kwenda kanda nyingine) zilizofanyika mwezi Agosti na Septemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbinga, Njombe, Makete na Mbeya (Kanda ya nyanda za juu kusini) hawa waliwatembelea wakulima wenzao wa wilaya ya Lushoto. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Bagamoyo, Morogoro Vijijini na Kilosa (Kanda ya Mashariki) ambao waliwatembelea wakulima wa wilaya za Njombe na Mbarali. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher TARP II - SUA Project en_US
dc.relation.ispartofseries TARP II;2-30
dc.subject Mafunzo en_US
dc.subject Wakulima en_US
dc.subject Ziara en_US
dc.title Ziara ya mafunzo kwa wakulima kati ya nyanda za mashariki na ya nyanda za juu kusini en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu