Ghala la Mkulima

Aina mbalimbali za umwagiliaji

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Tume ya Taifa ya umwagiliaji
dc.date.accessioned 2023-02-27T06:48:08Z
dc.date.available 2023-02-27T06:48:08Z
dc.date.issued 2021-10-15
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/665
dc.description.abstract Umwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada katika eneo baada ya kumwagilia.Katika nchi yetu, umwagiliaji umekuwa unafanywa sehemu ambazo mvua ni kidogo au sehemu ambazo zinakuwa na mvua nyingi kwa kipindi kifupiTeknolojia ya umwagiliaji maji mashambani inaanzia kwenye kuchukua maji kwenye vyanzo vya maji, kupeleka mashambani na kuyarudisha mton en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Tume ya Taifa ya umwagiliaji en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Umwagiliaji en_US
dc.subject Tume en_US
dc.title Aina mbalimbali za umwagiliaji en_US
dc.title.alternative Aina za umwagiliaji en_US
dc.title.alternative Umwagiliaji en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu