xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Kifaro, G. C | |
dc.contributor.author | Mtenga, L. A | |
dc.contributor.author | Kasuku, A. A | |
dc.contributor.author | Ndemanisho, E. E | |
dc.contributor.author | Kimbita, E. N | |
dc.contributor.author | Msalya, G | |
dc.contributor.author | Mushi, D. E | |
dc.contributor.author | Max, R. A | |
dc.date.accessioned | 2017-11-16T11:39:34Z | |
dc.date.available | 2017-11-16T11:39:34Z | |
dc.date.issued | 2013 | |
dc.identifier.isbn | 978 - 9987 - 9673 - 4 - 6 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/63 | |
dc.description.abstract | Utaalamu na elimu juu ya utunzaji bora wa mbuzi hawa haujaenea kiasi cha kutosha katika taifa letu. Tangu mwaka 1994, Idara ya Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji (DASP) ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), imekuwa ikiandaa vijitabu mbalimbali juu ya utunzaji wa mbuzi wa maziwa hususani kuhusiana na ulishaji, afya, uzalishaji na utunzaji wa kumbukumbu. Vijitabu hivi vimekuwa vikiandaliwa kwa ajili ya wafugaji wa mbuzi wa maziwa katika miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la maendeleo ya kimataifa la Norway (NORAD). Kwa kutambua maendeleo yaliyopatikana kati ya wakati huo na sasa katika swala zima la mbuzi wa maziwa ikiwa ni pamoja na ongezeko la wafugaji nchini, idara imetayarisha kitabu hiki kikiwa ni boresho la machapisho ya awali. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | EPINAV - SUA | en_US |
dc.subject | Mbuzi | en_US |
dc.subject | Maziwa | en_US |
dc.subject | Ufugaji | en_US |
dc.subject | Utunzaji | en_US |
dc.subject | Mifugo | en_US |
dc.title | Utunzaji bora wa mbuzi wa maziwa | en_US |
dc.type | Book | en_US |