Ghala la Mkulima

UtafutajiUsindikaji na Masoko Kwa Somo "Kilimo"

UtafutajiUsindikaji na Masoko Kwa Somo "Kilimo"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mtega, Wullystan (Sokoine university of A griculture, 2020-05-20)
    Mkulima anatakiwa kutafuta soko la mazao yake kabla hajaanza shughuli ya uzalishaji shambani. Ili kupata taarifa za kutosha, mkulima anashauriwa kufanya utafiti wa soko. Mkulima anaweza tumia njia kuu mbili: (i) kuandaa ...
  • Tiisekwa, B. P. M; Ndibakunze, B. K; Suleiman, R; Tiisekwa, A. B (Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2011-02)
    Matunda na mbogamboga ni mazao muhimu katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, kama yalivyo muhimu katika ulimwengu wote. Mazao haya ni chanzo cha vitamini, madini, antioxidants, kambakamba za chakula and wanga ambayo ni ...
  • Ruto, Grace; Odhong', Charles (Vi Agroforestry, 2016)
    MWONGOZO HUU UMEANDALIWA ILI KUWEZESHA KUWAFUNDISHA wakulima katika ukuzaji wa biashara, hivyo kuwezesha wakulima wanaofanya kilimo cha kujikimu kubadilisha kutoka kulima kwa ajili ya chakula cha familia tu hadi kilimo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
    Nafaka ni mazao makuu ya chakula ambayo hutumiwa na watanzania wote waishio mijini na vijijini. Nafaka zinaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu kuliko mazao mengine ya chakula na mara nyingi nafaka huzalishwa mara moja au mbili ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account