Ghala la Mkulima

Utotoleshaji kwa kutumia mashine

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-07-24T05:50:15Z
dc.date.available 2019-07-24T05:50:15Z
dc.date.issued 2019
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/494
dc.description.abstract Kuku ni jamii ya ndege mwenye joto linalo fikia nyuzi (37.5 Centigrade). Japo kama ilivyo kwa viumbe wengine joto hilo linaweza kupanda au kushuka kidogo kutokana na sababu za kimazingira. Hapo zamani hapakuwa na uwezekano wa yai kutoa kifaranga bila uwepo wa kuku kutamia. Kuku anapo tamia husaidia kutoa joto lenye unyevu unyevu na pia huyageuza mayai ili kiumbe kilichomo kisigandie upande mmoja wa yai. Baada ya siku 21 kifaranga hutotolewa na kuanza maisha mapya nje ya yai. Katika karne ya 21 kufuatia kusheheni kwa Technolojia, sasa mayai yaliyo tagwa na kuku yanaweza kutotoleshwa kwa kupitia mashine maalum ziitwazo incubator. Incubator iligunduliwa mnamo mwaka 1749 japo toleo la kwanza la kibiashara lilianza kutolewa 1881. Kama zilivyo incubator zinazo saidia kuhifadhi watoto wa binaadamu ambao ni pre-mature (au wamezaliwa kabla ya muda), mashine hizi hazizalishi watoto au hazizalishi vifaranga wala hazizalishi mayai. Kazi kuu inayofanywa na mashine hizi ni kuweka mazingira wezeshi yenye uwiano kama yale ambayo mtoto wa binaadamu angeyapata ndani ya tumbo la mama yake au kutoa mazingira yenye uwiano kama ambavyo kuku angeweza kutamia mayai yake. Tuelekeze jicho letu kwenye incubator za kutotolesha mayai ya kuku. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Samyak Infotech Pvt. Ltd en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Mayai en_US
dc.subject Utotoleshaji en_US
dc.subject Vifaranga en_US
dc.title Utotoleshaji kwa kutumia mashine en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu