Ghala la Mkulima

Mpango Kabambe wa Mifugo Tanzania (TANZANIA LIVESTOCK MASTER PLAN) 2017/2018 – 2021/2022

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-03-26T09:06:59Z
dc.date.available 2019-03-26T09:06:59Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/467
dc.description.abstract Sekta ya mifugo ni muhimu katika kuwezesha wananchi kupata chakula, kipato, wanyama kazi pamoja na samadi kwa ajili ya kurutubisha ardhi na hivyo kuwezesha ustawishaji wa mazao, hususan maeneo ya vijijini na baadhi ya maeneo ya mijini na pembezoni mwa miji. Kaya takriban milioni 4.6 zinajihusisha na ufugaji, ikiwa ni asilimia 50 ya kaya zote nchini (NPS, 2012). Uwiano wa asilimia ya kipato cha Kaya hizo inayotokana na ufugaji wa mifugo ni kama ifuatavyo: • Kuku asilimia 53; • ng’ombe asilimia 32; • mbuzi asilimia 10; • nguruwe asilimia 4; na • kondoo asilimia 1. Katika mwaka 2016, sekta ya mifugo imekua kwa asilimia 2.6 na kuchangia asilimia 7.4 katika pato la Taifa. Mchango wa sekta bado ni mdogo ukilinganisha na idadi ya mifugo iliyopo ambayo ni ng’ombe milioni 28.4 mbuzi milioni 16.6 na kondoo milioni 5, kuku wa asili milioni 37.4 (NBS, 2016). en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Tanzania en_US
dc.subject Mifugo en_US
dc.subject Uvuvi en_US
dc.subject Mpango Mkuu en_US
dc.subject Mpango kabambe en_US
dc.title Mpango Kabambe wa Mifugo Tanzania (TANZANIA LIVESTOCK MASTER PLAN) 2017/2018 – 2021/2022 en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu