Kwa ufupi:
Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Mipango thabiti hutimiza malengo; Fahamu kuhusu ugonjwa wa ndui ya mbuzi;Ndui ya mbuzi: Ugonjwa hatari usio na tiba; Fahamu kuhusu mnyororo wa thamani katika mazao ya kilimo hai; Hakikisha nguruwe wanapata lishe bora na kwa wakati; Zalisha na sindika alizeti kwa kuongeza thamani na ubora; Tambua wadudu, magonjwa na wanyama waharibifu wa soya; Jarida la MkM Limetuamsha kuanzisha miradi mbalimbali