xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2019-02-14T06:30:47Z | |
dc.date.available | 2019-02-14T06:30:47Z | |
dc.date.issued | 2011 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/414 | |
dc.description.abstract | Kuongezeka kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika mifugo na sekta nyengine zinazohusiana nazo ni suala muhimu la kisera linalopewa kipaumbele katika kuleta maendeleo endelevu ya familia masikini hapa Zanzibar.Ongezeko hilo la ukuaji wa uchumi linaoana na Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Muda Mrefu (Dira ya 2020) na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Zanzibar (MKUZA II). Uzinduzi wa Sera mpya ya Mifugo Zanzibar unakwenda sambamba na Lengo la Maendeleo ya Milenia la kupunguza umaskini. Zanzibar imejaaliwa kua na rasilimali za kutosha za miti na wanyama zinazoweza kutumika kama msingi wa maisha kwa familia za vijijini zinazofikia karibu asilimia 60 ya idadi ya watu wote (ZSGRP, 2007). Hata hivyo, katika kipindi kirefu, visiwa hivi vimekabiliwa na upungufu wa raslimali ardhi, teknolojia sahihi na raslimali fedha ambazo kwa pamoja zinachangia katika kupunguza kasi ya ukuaji wa sekta ya kilimo (ikiwemo mifugo), licha ya juhudi kubwa zinazochukuliwa na serikali na Washirika wake wa Maendeleo katika kukabiliana na changamoto hizo. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Zanzibar Tanzania | en_US |
dc.subject | Sera | en_US |
dc.subject | Mifugo | en_US |
dc.subject | Uvuvi | en_US |
dc.subject | Zanzibar | en_US |
dc.subject | Pemba | en_US |
dc.subject | Unguja | en_US |
dc.title | Sera ya Mifugo Zanzibar | en_US |
dc.type | Book | en_US |