xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2019-02-14T06:30:11Z | |
dc.date.available | 2019-02-14T06:30:11Z | |
dc.date.issued | 2009 | |
dc.identifier.isbn | 92–9146–188–1 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/410 | |
dc.description.abstract | Kama msafirishaji wa maziwa, unafahamu vyema jinsi jinsi maziwa yanavyoweza kuharibika haraka kama hatayunzwa na huhifadhiwa vizuri au hayatasafirishwa kwa haraka. Hivyo basi, ni muhimu kuwa na uelewa wa kutosha na stadi zitakazokuwezesha kuzingatia misingi ya ubora wa maziwa wakati unapohudumia, kusafirisha na kwenda kuyauza kwa wateja. Hii itasaidia kuzuia hasara zisizo za lazima kutokana na kuharibika kwa maziwa na itakuwezesha kuongeza faida. Kwa kuzingatia hayo mwongozo ufuatao umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya mamlaka zinazosimamia tasnia ya maziwa za Kenya, Rwanda, Tanzania and Uganda; Asasi za Association for Strengthening Agricultural Research in Eastern and Central Africa (ASARECA) kupitia Programme for Agricultural Policy Analysis (ECAPAPA) na International Livestock Research Institute (ILRI). Mwongozo huu umetengenezwa ili kukupa misingi ya uelewa wa utunzaji, uhifadhi na usafirishaji bora wa maziwa. Madhumuni ya mwongozo huu ni kukusaidia kupata misingi ya uelewa na stadi katika maeneo yafuatayo: ● Uzalishaji bora wa maziwa ● Kuhudumia maziwa katika hali ya usafi na salama ● Vipimo vya msingi vya kuhakiki ubora wa maziwa ● Utunzaji, uhifadhi na usafirishaji bora wa maziwa ● Utunzaji wa vyombo vya kubebea na kupoza maziwa | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Association for Strengthening Agricultural Research in Eastern and Central Africa - ASARECA, | en_US |
dc.subject | Maziwa | en_US |
dc.subject | Ufugaji | en_US |
dc.subject | Mifugo | en_US |
dc.title | Utunzaji, Uhifadhi na Usafirishaji Bora wa Maziwa: Mwongozo wa kufundishia wasafirishaji wa maziwa Afrika Mashariki | en_US |
dc.type | Book | en_US |