Ghala la Mkulima

Chanja kuku wako dhidi ya ugonjwa wa kideri (mdondo)

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-13T07:15:04Z
dc.date.available 2019-02-13T07:15:04Z
dc.date.issued 2016
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/406
dc.description.abstract Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ndege uliowafuga ikiwa hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa huo na ukitokea mlipuko wa ugonjwa huo, unaweza kuteketeza kuku wote kijijini mwako na hata vijiji vya jirani. Kwa hivyo, ni muhimu kuchanja kundi lako la ndege/kuku! en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher GALVMed en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Kideri en_US
dc.subject Mdondo en_US
dc.subject Magonjwa en_US
dc.subject Chanjo en_US
dc.title Chanja kuku wako dhidi ya ugonjwa wa kideri (mdondo) en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu