Ghala la Mkulima

Magonjwa makuu ya kuku, kinga na tiba: Mwongozo kwa wafugaji Toleo 1

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-13T07:14:53Z
dc.date.available 2019-02-13T07:14:53Z
dc.date.issued 2012-01
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/405
dc.description.abstract Ndege wafugwao wana nafasi kubwa kuchangia katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini. Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya kaya zote nchini Tanzania hufuga aina moja au nyingine ya ndege, hususani jamii ya kuku. Hata hivyo ufugaji unakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo ya kupunguza vifo vinavyosababishwa na magonjwa. Takwimu zinaonyesha kuwa takriban asilimia 70 ya vifaranga vyote ambavyo huzalishwa nchini katika ufugaji wa asili hufa kutokana na magonjwa mbali mbali. Maarifa na mbinu za kutosha kuzuia na kudhibiti magonjwa zinahitajika ili kuongeza uzalishaji. Upungufu wa huduma za ugani na machapisho mbalimbali kumesababisha wafugaji kutopata taarifa, maarifa na mbinu endelevu za kuthibiti na kuzuia magonjwa. Mwongozo kwa Wafugaji unaoelezea magonjwa ya kuku utasaidia kutoa maarifa na mbinu za tiba, kinga na kutambua magonjwa ya kawaida yanayopatikana hapa nchini hususan mahali ambapo hakuna huduma au penye huduma duni za ugani. Hata hivyo, wafugaji wanashauriwa kuendelea kuonana na wataalam wa mifugo ili kupata maelezo ya ziada katika sehemu zinazohitaji ufafanuzi pamoja na kutatua matatizo ya magonjwa ambayo hayakutajwa katika Mwongozo huu. Mategemeo yetu ni kwamba maarifa yatokanayo na Mwongozo huu yatamwongezea mfugaji uwezo wa kutambua na kukinga magonjwa na hivyo kunguza matukio ya milipuko ya magonjwa na vifo ili kuongeza uzalishaji hasa kwenye maeneo ya vijijini. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Programu ya Kuendeleza Matumizi ya Matokeo ya Utafiti (Research Into Use – RIU Tanzania) - MUVEK Development Solutions en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Magonjwa en_US
dc.subject Tiba en_US
dc.title Magonjwa makuu ya kuku, kinga na tiba: Mwongozo kwa wafugaji Toleo 1 en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu