Ghala la Mkulima

MPANGO WA KUHAMISHA SHUGHULI ZA KIPATO (MKUSHUKI) KWA WALIOCHUKULIWA MASHAMBA YAO KWA AJILI YA HIFADHI YA UBIOANUWAI KATIKA USHOROBA WA MSITU WA DEREMA :Ushoroba wa misitu ya Derema: Milima ya Usambara Mashariki

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-12-19T08:17:08Z
dc.date.available 2018-12-19T08:17:08Z
dc.date.issued 2006-09
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/387
dc.description.abstract Kati kati ya mwaka 2002, wakulima 1128 waliokuwa wakiishi sehemu ya kaskazini mashariki ya Tanzania, kwenye miteremko mikali ya milima ya Usambara Mashariki, waliambiwa kwamba mazao katika mashamba yao madogomadogo katika misitu, nje ya vijiji vyao ilibidi yafyekwe ili kuihifadhi misitu hiyo. “Ushoroba Mpya wa Derema” utakuwa ni kiungo kati ya hifadhi mbili za misitu ambayo inalindwa na mwendelezo wa makazi ya mamia ya ndege, wanyama watambaao, wadudu, spishi za wadudu na mimea ambayo ni adimu sana, na mingine ambayo inatishiwa kutoweka. Wakulima walilipwa fidia ya mazao ambayo yalikuwa katika mpaka wenye upana wa mita tatu kuzunguka ushoroba; mpaka ambao uliwekwa kwa kufyeka mimea iliyokuwa katika mpaka huo. Mazao yao ndani mpaka –yenye thamani kubwa, yale ya iliki, mdalasini, karafuu na pilipili manga, pamoja na baadhi ya miti ya matunda – yalihesabiwa na kuorodheshwa kwa ajili ya kulipiwa fidia baadaye. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mradi wa Hifadhi na Usimamizi wa Misitu Tanzania - TFCMP en_US
dc.subject Milima en_US
dc.subject Usambara en_US
dc.subject Misitu en_US
dc.title MPANGO WA KUHAMISHA SHUGHULI ZA KIPATO (MKUSHUKI) KWA WALIOCHUKULIWA MASHAMBA YAO KWA AJILI YA HIFADHI YA UBIOANUWAI KATIKA USHOROBA WA MSITU WA DEREMA :Ushoroba wa misitu ya Derema: Milima ya Usambara Mashariki en_US
dc.type Presentation en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu