Ghala la Mkulima

Tajirika na kilimo cha parachichi

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-10-04T08:56:33Z
dc.date.available 2018-10-04T08:56:33Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/338
dc.description.abstract Miparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la “chakula cha mbwa” kwa kuwa mara nyingi yalipodondoka kutoka kwenye miti yaliliwa na mbwa. Hata hivyo, mikoa ya kusini (Mbeya) maparachichi yamekuwa tunda muhimu katika milo yote. Utafiti umeonesha kwamba maparachichi yana mafuta muhimu yanayoondoa mafuta yanayoganda kwenye mishipa ya damu. Pia yana virutubisho vinavyofanya damu itembee kwa urahisi mwilini. Maparachichi yana virutubisho vya vitamini E. Kwa sababu hii maparachichiyanatumika katika kutengeneza vipodozi ya ngozi na nywele. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kilimo Biashara Blog en_US
dc.subject Parachichi en_US
dc.subject Avacado en_US
dc.title Tajirika na kilimo cha parachichi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu