xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-09-28T09:30:14Z | |
dc.date.available | 2018-09-28T09:30:14Z | |
dc.date.issued | 2017-05 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/310 | |
dc.description.abstract | “Ufugaji wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata mazao bora. Unaweza kupata kila unachohitaji wewe, familia na hata ndugu zako kutokana na ufugaji wa nguruwe”, anasema Bwana Lomaiyani Molel kutoka Arusha. Jamii nyingi hapa Tanzania huchukulia nguruwe kama mnyama mchafu na asiyefaa kuwa karibu naye na hata kwa matumizi kama lishe. Zaidi, nyama yake inapendwa na haina madhara kwa afya na inapendekezwa kuliwa zaidi kuliko nyama nyekundu. Unaweza kuanzisha mradi wa nguruwe kwa gharama ndogo lakini baada ya kipindi cha miezi tisa tu ukaanza kujipatia kipato kutokana na ufugaji huo. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo na Mifugo Blog | en_US |
dc.subject | Mifugo | en_US |
dc.subject | Nguruwe | en_US |
dc.subject | Nyama | en_US |
dc.title | Ufugaji bora wa nguruwe | en_US |
dc.type | Article | en_US |