Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Zanzibar Tanzania, 2011)
Kuongezeka kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika mifugo na sekta nyengine zinazohusiana nazo ni suala muhimu la kisera linalopewa kipaumbele katika kuleta maendeleo endelevu ya familia masikini hapa Zanzibar.Ongezeko hilo ...