Mugasha, A. G.
(Mradi wa uhakika wa chakula na pato la kaya kwa wakulima wadogowadogo Tanzania (TARP II-SUA Project), 2004-08-19)
Mifugo aina ya ngombe, mbuzi, kondoo na punda wanahitaji vyakula vya aina kuu tano, ili waweze kukua na kutoa maziwa mengi au kufanya kazi mbalimbali.