Mwandishi Hajulikani (World Acquaculture, 2016-12)
Makala inayoelezea ukuaji na mahitaji ya Soko la samaki duniani kupitia uzalishaji unaofanyika Afrika Kusini. Hali hiyo inatoa fursa kwa nchi hiyo kuweza kutumia vizuri mwanya huo kujiendeleza kiuchumi.