xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mussa, D | |
dc.date.accessioned | 2018-09-27T07:08:46Z | |
dc.date.available | 2018-09-27T07:08:46Z | |
dc.date.issued | 2018-08 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/299 | |
dc.description.abstract | Tufaa ni tunda moja maarufu duniani ambalo hupendwa kuliwa na watu wa jamii zote, hii inatokana na utamu wake pamoja na faida za kiafya zinazopatikana kwa kula matufaa. Matunda haya hustawi zaidi kwenye nyanda za juu ambako joto sio kali, sehemu kama lushoto, Arusha, miteremko ya Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Njombe, Songea nk. Udongo ni wenye rutuba ya kutosha na usiotuamisha maji | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo Tanzania Blog | en_US |
dc.subject | Tufaa | en_US |
dc.subject | Matunda | en_US |
dc.subject | Apples | en_US |
dc.title | Kilimo cha Tufaa - Apples | en_US |
dc.type | Article | en_US |